NAFASI 14 za Kazi Jubileth Enterprises

Filed in Ajira by on 10.07.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI 14 za Kazi Jubileth Enterprises

NAFASI 14 za Kazi Jubileth Enterprises

NAFASI 14 za Kazi Jubileth Enterprises

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Idara: Usafi (Housekeeping)
Nafasi Zilizopo: 14
Aina ya Kazi: Muda wote (Full Time)
Mahali: Dodoma

Jubileth Enterprises, kampuni inayotoa huduma za usafi kwa viwango vya Kitaalamu, inakaribisha vijana wa Kitanzania kuomba nafasi za kazi kama wahudumu wa usafi (Housekeeping).

Waliopo kwenye nafasi hizi watafanya kazi kwenye ofisi, nyumba binafsi, maeneo ya biashara na mazingira mengine kulingana na mahitaji ya wateja wetu katika jiji la Dodoma.

MAJUKUMU MAKUU:

  • Kufanya usafi wa ndani na nje ya majengo.
  • Kutunza vifaa vya usafi na kuhakikisha matumizi sahihi.
  • Kufanya kazi kwa kufuata ratiba na viwango vya kampuni.
  • Kudumisha heshima na taaluma kwa wateja.

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Umri kati ya miaka 18 – 35.
  • Awe tayari kufanya kazi muda wote (full time).
  • Awe na nidhamu, uaminifu na maadili bora.
  • Uzoefu wa kazi ya usafi utapewa kipaumbele (si lazima)

FAIDA KWA WAFANYAKAZI:

  • Mafunzo ya awali kabla ya kuanza kazi Mazingira salama na rafiki ya kazi.

Malipo ya haki na ya wakati

Tuma maombi yako kwa njia ya barua pepe au simu/WhatsApp kwa kutumia maelezo yafuatayo:
 📧 Email: yustochaka227@gmail.com
 📞 Simu/WhatsApp: 0615 001 847

Nafasi ni chache – walio na sifa na wanaotuma mapema watapewa kipaumbele.

Mwisho wa kutuma Maombi ni tarehe 20 Julai 2025.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *