NAFASI Za Kazi Kaliua District Council

NAFASI Za Kazi Kaliua District Council
NAFASI Za Kazi Kaliua District Council
Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2024/2025
chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kaliua
anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi
zifuatazo kwenye PDF hapa chini.
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KALIUA 01-08-2025
