NAFASI Za Kazi Babati Town Council

Filed in Ajira by on 01.08.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Babati Town Council

NAFASI Za Kazi Babati Town Council

NAFASI Za Kazi Babati Town Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji wa Babati anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo Katika PDF hapa chini.

 NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI WA BABATI 01-08-2025

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *