NAFASI Za Kazi Kasulu District Council

NAFASI Za Kazi Kasulu District Council
NAFASI Za Kazi Kasulu District Council
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024, na kibali chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 pamoja na kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/01C/021 cha tarehe 20/05/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishiwa Umma na Utawala Bora.
NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU 01-08-2025

Naomba kazi