NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania

NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania
NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania
Tanzania Horticultural Association (TAHA) nishirika la sekta binafsi linalokuza ukuaji na ushindani wa tasnia ya bustani nchini Tanzania.
TAHA hutumika kama jukwaa la wazalishaji, wafanyabiashara, wauzaji bidhaa nje, na wasindikaji wa bidhaa za bustani kama maua, matunda, mboga mboga na viungo.
TAHA pia inalenga katika kuimarisha mazingira ya biashara, kuongeza upatikanaji wa soko, na kuboresha tija ndani ya sekta hiyo.
TUMA MAOMBI HAPA
