MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 12/08/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 12/08/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 12/08/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 10-06-2025 kuwa matokeoya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama ya livyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma Leo tarehe 12/08/2025
