NAFASI Za Kazi Mbeya University of Science and Technology (MUST)

Filed in Ajira by on 12.08.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Mbeya University of Science and Technology (MUST)

NAFASI Za Kazi Mbeya University of Science and Technology (MUST)

NAFASI Za Kazi Mbeya University of Science and Technology (MUST)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) ni matokeo ya mabadiliko ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST) kupitia Sheria ya Vyuo Vikuu Na.7 (2005) na Mkataba wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya wa 2013.

Maono ya Chuo Kikuu hicho ni kuwa Kituo kikuu cha ubora kwa maarifa, ujuzi na elimu ya matumizi katika sayansi na teknolojia.

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kinakaribisha Watanzania wenye nia, ari pamoja sifa za kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.

Nafasi 28 Mpya Za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).

NAFASI 28 ZA KAZI CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) 12-08-2025

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *