SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Magereza

Filed in Makala by on 16.08.2025 0 Comments
Share This Post
SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Magereza

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Magereza

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Magereza

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mfano wa Barua ya maombi ya Ajira Za Jeshi la Magereza.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, ametangaza nafasi za ajira kwa Vijana wa Kitanzania wenye Elimu ya Kidato cha Nne (Form IV) na wenye ujuzi katika fani mbalimbali kwa ngazi ya Stashahada na Shahada kama zilivyoainishwa hapa chini.

Aidha Waombaji wote Katika nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa zilizoanishwa hapa Katika TANGAZO LA AJIRA JESHI LA MAGEREZA 2025

Barua ya Kuomba Ajira au barua ya Kuomba kazi, ni sehemu muhimu wakati Kutuma wa maombi yako ya kazi.

Barua hiyo hutumika kama utangulizi wa wasifu wako na hukupa fursa ya kuangazia sifa zako na kuelezea shauku yako kwa nafasi husika unayoiomba Katika Shirika, Taasisi au Kampuni.

Hapa chini tumekuandalia mfano wa Barua ya Kuomba Ajira zilizotangazwa na Jeshi la Magereza Tanzania mwaka huu 2025.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA BARUA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *