KUITWA Kwenye Usaili Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) August 2025

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) August 2025
KUITWA Kwenye Usaili Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) August 2025
Waombaji kazi za mkataba kwa kada ya Mwandishi Mwendesha Ofisi (OMS II) wanajulishwa kuwa usaili utafanyika tarehe 25/08/2025 na 26/08/2025 Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es Salaam.
Usaili wa vitendo utafanyika tarehe 25/08/2025 kuanzia saa 3.00 asubuhi na Usaili wa Mahojiano utafanyika tarehe 26/09/2025 Chuo cha Elimu ya Biashara Kampasi Kuu ya Dar es salaam saa 3:00 Asubuhi.
Orodha Kamili ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Kutoka Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) tarehe 18 August 2025.
KUITWA KWENYE USAILI CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) KAZI ZA MKATABA 18-08-2025
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) August 2025