KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 30.08.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025

KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025

KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025, Tangazo la Kuitwa Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama JSC 2025.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kufuatia kukamilika kwa usaili wa waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama.

Wahusika wote waangalie barua zao za ajira kwenye baruapepe zao (Email) na kufuata maelekezo yaliyotolewa kwenye barua husika.

Kwa wale ambao majina yao hayakutokea katika Tangazo hili, wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa.

Orodha ya majina ya walioitwa kazini kwa kada mbalimbali Tume ya Utumishi wa Mahakama.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *