IFM Selected Applicants 2025/2026

Filed in Elimu by on 03.09.2025 0 Comments
Share This Post
IFM Selected Applicants 2025/2026

IFM Selected Applicants 2025/2026

IFM Selected Applicants 2025/2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo Cha Usimamizi Wa Fedha (IFM) kinapenda kuwajulisha Wanafunzi wote waliopangiwa nafasi za masomo na ofisi ya Rais-tamisemi katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) katika matawi yake yote (Dar-es-salaam Campus, Mwanza Campus, Dodoma Campus, na Simiyu Campus) kutembelea tovuti ya Chuo: https://ems.ifm.ac.tz/application, ili kupata maelekezo namna ya kuthibitisha na namna ya kujiunga na chuo.

Masomo yataanza mwezi wa kumi (oktoba) endapo kutakuwa na mabadiliko ya tarehe ya kuanza masomo mtatarifiwa.

Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Cha Usimamizi Wa Fedha (IFM) yameoorodheshwa hapa chini kwenye PDF.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *