NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya

NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya
NAFASI 20 Za Kazi Kada Za Afya Mkoa wa Mbeya
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Kwa Kushirikiana na Mdau HJMRI anapenda Kuwatangazia Wananchi wote Nafasi za Kazi Ishirini (20) za Ajira ya Mkataba Kwa Kada za Afya Watakaofanya Kazi Katika Halmashauri za Mkoa wa Mbeya.
Nafasi hizo ni; Daktari II, Afisa Tabibu II, Afisa Tabibu Msaidizi, Afisa Muuguzi Msaidizi II, Muuguzi II, Mteknolojia Maabara (Laboratory Technologist) II, Afisa Mteknolojia Maabara (Laboratory Scientist) II, Mtunza Kumbukumbu Msaidizi II na Afisa Tehama
Wananchi wenye Sifa Kwa Kila Kada Waombe Nafasi hizo Kwa Kuzingatia Sifa ngazi ya Mshahara Kama zilivyoainishwa Kwenye Tangazo lililoambatanishwa (Employment Opportunites -Mbeya) hapa chini.
Mwisho wa Kutuma maombi ni tarehe 12 Septemba, 2025
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Thank you for the chance.
am a medical attendance
I like my work