KUITWA Kwenye Usaili DMI, TPA, NIT, IAA, MPRU, MNH, TBC, TPSC, IRDP, CAWM, NBS na TANROADS 17/09/2025

Filed in Usaili by on 17.09.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili DMI, TPA, NIT, IAA, MPRU, MNH, TBC, TPSC, IRDP, CAWM, NBS na TANROADS 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili DMI, TPA, NIT, IAA, MPRU, MNH, TBC, TPSC, IRDP, CAWM, NBS na TANROADS 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili DMI, TPA, NIT, IAA, MPRU, MNH, TBC, TPSC, IRDP, CAWM, NBS na TANROADS 17/09/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaChuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (CAWM), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25/09/2025 hadi 15/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025

Share This Post

Tags: , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *