KUITWA Kwenye Usaili TALIRI, IFM, EASTC, BMH, DIT, WI, TUWASA, TAWA, TIE na NECTA 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili TALIRI, IFM, EASTC, BMH, DIT, WI, TUWASA, TAWA, TIE na NECTA 17/09/2025
KUITWA Kwenye Usaili TALIRI, IFM, EASTC, BMH, DIT, WI, TUWASA, TAWA, TIE na NECTA 17/09/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC), Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora (TUWASA), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Chuo cha Maji (WI) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa
kuendeshwa kuanzia tarehe 26/09/2025 hadi 14/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
Tags: BMH, DIT, EASTC, IFM, KUITWA Kwenye Usaili TALIRI, TAWA, TIE na NECTA 17/09/2025, TUWASA, WI
