KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 17/09/2025

KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 17/09/2025
KUITWA Kwenye Usaili MDAs & LGAs 17/09/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 01/10/2025 hadi 24/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
