MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 25.09.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 25 September 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua, Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu, nafasi ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Kidao Wilfred.

Taarifa iliyotolewa leo Septemba 24, 2025 na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, imesema uteuzi wa Mirambo utaanza rasmi Oktoba 1, 2025 mara baada ya mkataba wa Kidao kumalizika Septemba 30, 2025.

Mirambo ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, anatarajiwa kuendelea na majukumu hayo sambamba na wadhifa mpya, ambapo wadau wa soka wanamtazama kama chaguo sahihi kutokana na uzoefu wake katika maendeleo ya mchezo huo.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *