KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11
ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mafia anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 08/10/2025 kuanzia Saa 3:00 Asubuhi. Vituo vya Usaili vitakuwa kwenye kila Kata kama ifuatavyo kwenye PDF hapa chini.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mafia District Council