KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nanyamba Town Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nanyamba Town Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nanyamba Town Council
Kwa madhumuni i ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Nanyamba anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili siku ya Jumapili tarehe 12/10/2025 katika Shule ya Sekondari Nanyamba kuanzia Saa 02:00 Asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nanyamba Town Council