KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dar Es Salaam City Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dar Es Salaam City Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dar Es Salaam City Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kivule, Ukonga, Segerea na Ilala anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 15 Oktoba, 2025.
Orodha ya Majina ya Waombaji waliochaguliwa kufanya Usaili imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Dar Es Salaam City Council