KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iringa Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iringa Municipal Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iringa Municipal Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Iringa Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 16.10.2025 katika eneo la usaili ukumbi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Mkwawa kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iringa Town Council