KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

Filed in Usaili by on 12.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Iramba District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Iramba Magharibi anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili kwa tarehe na muda kama ifuatavyo;

  • Tarehe 15 Oktoba, 2025 Usaili utahusisha Wasailiwa wote kutoka kata za Shelui, Mtoa, Ntwike na Mgongo kuanzia saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Msingi Tyuta – Kata ya SHELUI.
  • Tarehe 16 Oktoba, 2025 Usaili utahusisha Wasailiwa wote kutoka kata za Ndago, Ndulungu, Mtekente, Urughu, Mbelekese na Kaselya kuanzia saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Sekondari Ndago – Kata ya NDAGO.
  • Tarehe 17 Oktoba, 2025 Usaili utahusisha Wasailiwa wote kutoka kata za Ulemo, Kyengege, Kinampanda, Maluga na Mukulu kuanzia saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Sekondari Kizaga -Kata ya ULEMO.
  • Tarehe 18 Oktoba, 2025 Usaili utahusisha Wasailiwa wote kutoka kata za Kiomboi, Old Kiomboi, Kisiriri, Tulya na Kidaru kuanzia saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Sekondari Kisiriri- Kata ya KISIRIRI.

Aidha kila mwombaji anapaswa kufika kwenye usaili akiwa na halisi vya taaluma pamoja na kitambulisho chochote kinachomtambulisha (NIDA, Mpiga Kura, Leseni ya Udereva, Hati ya Kusafiria).

Orodha ya majina kwa kila Kata imeambatishwa hapa chini.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *