KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

Filed in Usaili by on 14.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Ilemela Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa kuzingatia kifungu cha 6 (6) cha sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024 kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ilemela anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili tarehe 16 Oktoba 2025 katika eneo la Shule ya Sekondari na Makao Makuu ya Bujingwa iliyopo Buswelu karibu Halmashauri kuanzia saa 3.00 asubuhi.

Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

  • Muda wa kuanza usaili ni saa 3.00 asubuhi.
  • Kila msailiwa atajigharamia gharama zote ikiwemo usafiri, chakula na malazi.
  • Kila msailiwa afike akiwa na kalamu (pen) na kitambulisho chochote kinachotambulika au barua ya utambulisho kutoka ofisi ya Serikali za Mtaa.

Orodha ya majina ya waombaji wanaoitwa kwenye usaili na ratiba ya usaili vimeambatishwa hapa chini kwenye Tangazo.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *