KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbeya Vijijin anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 18.10.2025 hadi tarehe 19.10.2025 utakao fanyika kitarafa kama ifuatafovyo.
- Tarafa ya Isangati tarehe 18.10.2025 katika ukumbi wa llembo Sekondari,
- Tarafa ya Tembela tarehe 18.10.2025 Gaijembe Sekondari na
- Tarafa ya Usongwe tarehe 19.10.2025 Ukumbi wa Maranatha Sekondari. Muda ni kuanzia saa 2.00 asubuhi.
NB: Tangazo hili linafuta tangazo la awali la tarehe 3 oktoba 2025
Aidha kila alieitwa kwenye usaili aje na kitambulisho kinacho weza kutambulisha majina yakem
Orodha ya walioitwa kuhudhuria usahili imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
