KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mvomero District Council

Filed in Usaili by on 15.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mvomero District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mvomero District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mvomero District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mvomero anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 17/10/2025 katika Ofisi za kata uliyopangiwa kuanzia saa mbili asubuhi.

Kila Msailiwa anapaswa kufika kwenye kata aliyoitwa kwenye usaili akiwa na mojawapo ya vitambulisho vifuatavyo;

  1. Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
  2. Kitambulisho kwa Kupigia Kura.
  3. Leseni au pasi ya kusafiria.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *