KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rungwe District Council

Filed in Usaili by on 15.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rungwe District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rungwe District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Rungwe District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Rungwe anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 18/10/2025 katika shule ya Msingi Bulyaga saa 3:00 kamili asubuhi.

Kila mwombaji afike na kitambulisho kimojawapo kinachoendana na majina yake aliyoombea nafasi. Aina ya vitambulisho hitajika ni pamoja na:-

  1. Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
  2. Kitambulisho cha Kazini.
  3. Kitambusho Mpiga kura.
  4. Kitambulisho cha Bima ya Afya Kitambulisho cha Leseni ya Udereva.
  5. Kitambulisho cha Pasi ya kusafiria

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *