KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa 11 Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na pamoja na kanuni ya ya Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Geita Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 14.10.2025 katika vituo vilivyoainishwa kwenye orodha kuanzia saa 1:30 Asubuhi.
Wasailiwa wote wafike na kitambulisho chochote Mf. NIDA, cha mpiga kura, cha kazi, cha chuo, leseni N.K.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Geita Municipal Council