KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council
Kwa Madhumuni ya Uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbogwe anawatangazia waombaji wote wa nafasi za Msimamizi wa kituo, Msimamizi Msaidizi wa Kituo na Karani mwongozaji wapiga kura Uchaguzi Mkuu 2025, waliochaguliwa kufika kwenye usaili utakaofanyika siku ya ijumaa tarehe 17 Oktoba, 2025 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mbogwe saa 1:30 Asubuhi.
Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo; – Muda wa kuanza usaili ni saa 1:30 Asubuhi Msailiwa atajigharamia gharama zote ikiwemo usafiri, chakula na malazi Fika ukiwa na kitambulisho chochote kwa utambuzi.
Pamoja na tangazo hili.
Orodha ya majina Waliochaguliwa kufanya usaili imeambatishwa katika sehemu A na Sehemu B.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbogwe District Council
