NAFASI Za Kazi The Amazon College

NAFASI Za Kazi The Amazon College
NAFASI Za Kazi The Amazon College
The Amazon College inapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sifa stahiki kwamba kunapatikana nafasi za kazi katika kampasi zake zifuatazo:
- Dodoma – Majengo
- Mwanza
- Arusha – Mianzini
- Dar es Salaam
Nafasi Inayopatikana: Katibu Muhasibu wa Ofisi (Office Secretary) – Nafasi 3.
SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe na uwezo wa kutumia kompyuta na kuchapa barua.
- Awe na elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form Four) au zaidi.
- Awe na cheti cha mafunzo ya Uhazili/Secretarial kutoka chuo kinachotambulika na mamlaka husika.
- Awe mkaazi wa eneo analoomba kazi. Mwombaji anatakiwa kuainisha kampasi anayoiomba kati ya zilizotajwa hapo juu.
Tuma maombi yako kupitia:
WhatsApp: 0715170154
Email: theamazoncollegetanzanialtd@gmail.com
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.
