NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025

Filed in Elimu by on 17.10.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025

NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025

NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate Trainee Program 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Benki ya CRDB imetoa fursa kwa vijana waliomaliza vyuo hivi karibuni kuanzia 2023/2025 kujiunga na CRDB kupitia “CRDB Bank Graduate trainee program” ambapo programu hii inalenga kukuza na kutambua vipaji changa ndani ya vijana kwa kuwapa nafasi ya kuanza kujifunza na kutengenezwa kuwa viongozi bora ndani ya banki ya CRDB.

Dirisha hilo limefunguliwa kupitia kampuni ya Niajiri Platform ambapo kijana yeyote mwenye sifa anaweza kutuma maombi na kupitia michakato tofauti tofauti ya maombi ili aweze kuchaguliwa.

Dirisha hili limelenga kutoa fursa sawa kwa vijana wote wa kike na wa kiume na pia vijana watakaobahatika kujiunga na programu hii watapata nafasi ya kufanya kazi na matawi mbalimbali ya CRDB ikiwemo Congo pamoja na Burundi.

NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate trainee 2025

NAFASI Za Kujiunga na CRDB Bank Graduate trainee 2025

Tuma maombi yako sasa kupitia jukwaa la ya Niajiri Africa link iliyoambatanishwa hapa chini. https://niajiri.africa/crdb-career

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 31 October 2025.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *