AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025

AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025
AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs ametangaza nafasi Mpya 10,026 Za Walimu.
Katibu huyo amewaalika Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo 10,026 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili hapa chini kwenye PDF.
Nafasi 10,026 Mpya Za Walimu Kutoka MDAs & LGAs.
TANGAZO LA AJIRA 10,026 ZA WALIMU 2025
Tags: AJIRA 10026 Mpya Za Walimu 2025, AJIRA 10026 Za Walimu 2025
