POSHO na Malipo Ajira Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

POSHO na Malipo Ajira Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025
POSHO na Malipo Ajira Za Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025
Tanzania itafanya Uchaguzi wake Mkuu Oktoba 29, 2025 ambapo wapigakura 37, 655,559 wamejiandikisha kupiga Kura katika majimbo 272.
Kutokana na Tukio hilo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Malipo ma Posho Kwa Wasimamizi, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Wapiga Kura.
Malipo na Posho itakuwa kama ifuatavyo hapa chini.
- Siku ya Uchaguzi Msimamizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 70,000/= kwa siku kwa muda wa siku mbili.
- Posho ya chakula Shilingi 20,000/= kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000/=.
- Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Shilingi 65,000/= kwa siku kwa muda wa siku mbili.
- Posho ya chakula Shilingi 20,000/= kwa siku moja na nauli Shilingi 20,000/=
- Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Shilingi 65,000/= kwa siku moja.
- Posho ya chakula Shilingi 20,000/=
- Wakati wa Mafunzo Watendaji wote watalipwa Posho ya kiasi cha Shilingi 50,000/= kwa Siku.
- Nauli kiasi cha Shillingi 20,000/= kwa kila siku ya mafunzo.
Kuona Majina ya Wasimamizi , Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Wapiga Kura walioitwa Kazini Maombi Bonyeza Hapa

I’m very interested to be a supervisor of voting. I have communication skills,team management skills,decision making skills as well as time management skills. This gives me confidence to work on that position. I’m also a harder worker and honest man.
i m very interested to be a supervisor of voting. i have communication skills,drivers skills, decision making skills as well as time driver skills .This gives me confidence to work on that position . l,m also a harder worker and honest man..
That is something that inspires patriotism