KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on 23.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia
masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11
ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi wa Uchaguzi anawatangazia
waombaji nafasi za Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura kuudhulia Mafunzo Kwa tarehe tajwa.

Orodha ya wanaoitwa kuudhulia Mafunzo Kwa Kila Halmashauri imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF

  1. KIGAMBONI MC
  2. SINGIDA DC
  3. MTWARA MC
  4. MEATU DC
  5. MOROGORO DC
  6. MKURANGA DC
  7. BAGAMOYO DC
  8. MOSHI MC
  9. MOSHI DC
  10. PANGANI DC
  11. SIHA DC.
  12. KALAMBO DC
  13. ROMBO DC
  14. TUNDUMA TC
  15. ILEMELA MC
  16. MKALAMA DC
  17. MLIMBA DC
  18. TEMEKE MC
  19. HAI DC
  20. NKASI DC
  21. ILEJE DC
  22. KARATU DC
  23. KONDOA DC
  24. UBUNGO MC
  25. MWANZA CITY
  26. RUJIFI TC
  27. MTWARA DC
  28. MASASI TC
  29. KONGWA DC
  30. NZEGA DC
  31. CHEMBA DC
  32. MISSENYI DC
  33. HANDENI DC
  34. BUKOBA MC
  35. MAGU DC
  36. LIWALE DC.
  37. KIBAHA TC
  38. DODOMA CC
  39. BIHARAMULO DC
  40. IRAMBA DC
  41. KINONDONI MC
  42. MOMBA DC
  43. USHETU DC
  44. KILINDI DC
  45. SUMBAWANGA MC
  46. MBEYA DC

POSHO NA MALIPO AJIRA ZA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU 2025

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *