NAFASI Za Kazi CARE Tanzania

NAFASI Za Kazi CARE Tanzania
NAFASI Za Kazi CARE Tanzania
CARE Tanzania ni tawi la CARE International ambalo ni shirika la kimataifa lililojikita katika kupambana na umaskini na usawa wa kijamii, hasa kwa wanawake na wasichana.
CARE Tanzania ilianzishwa mwaka 1994 ili kukabiliana na mauaji ya kimbari ya Rwanda na wimbi la wakimbizi katika mkoa wa Kagera.
CARE Tanzania Sasa inatekeleza miradi ya maendeleo katika afya, elimu, uwezeshaji wa kiuchumi, na kilimo, huku ikizingatia pia kujitayarisha kwa matatizo na kustahimili hali ya hewa .
CARE Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali Za Kazi kama zilizoanishwa hapa chini.
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
