NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania

Filed in Ajira by on 21.11.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania

NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania

NAFASI Za Kazi Save the Children Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Save the Children Tanzania ni shirika linalojishughulisha na masuala ya afya na lishe ya mtoto, elimu, ulinzi wa mtoto na misaada ya kibinadamu nchini Tanzania, limekuwa likifanya kazi nchini Tanzania tangu mwaka 1986 .

Save the Children Tanzania inalenga katika kuboresha afya ya mama na mtoto, lishe, na kutekeleza programu za kuzuia magonjwa kama zile za kukabiliana na kipindupindu na milipuko mingine.

Hutoa nyenzo za kielimu, kuunga mkono kampeni za kurudi shuleni, kutoa mafunzo kwa walimu, na kutoa usaidizi wa kisaikolojia kwa watoto na wazazi.

Pia hutekeleza miradi kama vile mradi wa “Vijana Plus” unaofadhiliwa na EU ili kuimarisha viongozi vijana na mashirika ya kiraia yanayoongozwa na vijana. Okoa Watoto.

Shirika la Save the Children Tanzania linatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.

TUMA MAOMBI HAPA

Share This Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *