TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal

Filed in Ajira by on 28.11.2025 0 Comments
Share This Post
TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal

TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal

TAARIFA Mpya Kwa Waliotuma Maombi Ajira Portal

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Waombaji kazi wote mliotuma maombi ya kazi za MDA’s & LGA’s na Taasisi
nyingine. Mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira
portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu
na eneo lako.

Ili kuhuisha taarifa zako – nenda kwenye eneo la PERSONAL DETAILS, kisha rekebisha eneo la CURRENT RESIDENCE kwa kuandika Mkoa na Wilaya uliyopo kwa sasa.

Mwisho wa kuhuisha taarifa zako ni tarehe 06 Disemba, 2025.

Tembelea Tovuti ya www.ajira.go.tz kwa maelezo zaidi.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *