NAFASI Za Kazi MDAs & LGAs

Filed in Usajili by on 09.12.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi MDAs & LGAs

NAFASI Za Kazi MDAs & LGAs

NAFASI Za Kazi MDAs & LGAs

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs AND LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mbalimbali Za Ajira kama ilivyoainishwa hapa chini.

  1. AFISA TEHAMA II – PROGRAMMER (Nafasi 40)
  2. MTEKNOLOJIA WA MENO DARAJA II (Nafasi 10)
  3. MTEKNOLOJIA WA MACHO DARAJA II (Nafasi 20)
  4. MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II – RADIOLOJIA (Nafasi 70)
  5. AFISA TEHAMA II – SYSTEM ( Nafasi 40)
  6. AFISA TEHAMA II – FANI YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA TEHAMA (Nafasi 30)
  7. AFISA TEHAMA II – FANI YA USIMAMIZI WA MITANDAO YA TEHAMA (Nafasi 40)
  8. AFISA TEHAMA II – FANI YA USALAMA WA MIFUMO YA TEHAMA (Nafasi 30)
  9. AFISA TEHAMA II – DATA BASE ADMINISTRATOR (Nafasi 40)

Waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.

Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye tangazo la kazi.

Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 23/12/2025

Share This Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *