NAFASI Za Kazi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)

NAFASI Za Kazi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
NAFASI Za Kazi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanzishwa kwa Sheria Na.04 ya Taifa ya Umwagiliaji ya mwaka 2013 kama Taasisi ya Serikali inayojitegemea chini ya Wizara inayohusika na Umwagiliaji.
Tume hiyo imepewa mamlaka ya kuratibu, kendeleza na kusimamia Maendeleo ya Sekta ya Umwagiliaji nchini.
Shughuli za utendaji za kila siku husimamiwa na Mkurugenzi Mkuu chini ya usimamizi wa bodi yenye wajumbe 10.
Kupitia Ajira Portal, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba ajira katika nafasi mbalimbali za kazi zilizoanishwa hapa chini.
- OFFICE MANAGEMENT SECRETARY II (Nafasi 1)
- DRIVER II (Nafasi 17)
- PLANT OPERATOR II (Nafasi 15)
- ENVIRONMENTAL ENGINEER II (Nafasi 2)
- AGRICULTURAL TECHNICIAN II (Nafasi 1)
- MECHANICAL TECHNICIAN II (Nafasi 2)
- AGRICULTURAL ENGINEER II – IRRIGATION (Nafasi 13)
- ENGINEER II – CIVIL (Nafasi 7)
- LAND SURVEYOR II (Nafasi 7)
- QUANTITY SURVEYOR II (Nafasi 6)
Waombaji wote wa Ajira hizi wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.
Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye tangazo la kazi.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 22/12/2025
