MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026

Filed in Elimu by on 19.12.2025 0 Comments
Share This Post
MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026

MAJINA ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inapenda kuutangazia umma kuwa uchaguzi wa walioomba kujiunga na elimu na mafunzo ya ufundi stadi kwenye vyuo vya VETA kwa muhula unaoanza Januari, 2026 umekamilika kwa awamu ya kwanza.

Awamu ya pili ya waliochaguliwa itatangazwa kuanzia 23 Desemba, 2025.

Orodha ya majina na Maelekezo ya kujiunga (Joining Instructions) kwa kila chuo yanapatikana kwenye tovuti ya VETA, www.veta.go.tz na kwenye vyuo vya VETA kote nchini.

Waliochaguliwa wanapaswa kufika vyuoni kabla ya tarehe 13 Januari, 2026.

Masomo yataanza tarehe 15 Januari, 2026.

Kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2026 bonyeza hapa chini kwenye PDF.

SELECTED APPLICANTS FOR 2026 INTAKE

Kupakua fomu za maelezo ya kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2026 bonyeza hapa chini kwenye PDF.

JOINING INSTRUCTIONS FORMS FOR 2026 INTAKE

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *