KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026

Filed in Kuitwa Kazini by on 25.01.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026

KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026

KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kufuatia kukamilika kwa usaili wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 17 Novemba, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama.

Wahusika wote watatumiwa barua zao za ajira kwenye barua pepe zao (email) na kufuata maelekezo yaliyotolewa kwenye barua husika.

Kwa wale ambao majina yao hayakutokea katika Tangazo hili, wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *