Anicet Oura ni Mnyama

Anicet Oura ni Mnyama
Anicet Oura ni Mnyama
Karibu Simba SC, Anicet Oura.
Klabu ya Simba Simba Sports Club imekamilisha usajili wa winga, Alain Anicet Oura Kutoka IF Gnistan ya nchini Finland.
Anicet Oura mwenye Umri wa miaka 26 amewahi kuzitumikia klabu za ASEC Mimosas (Ivory Coast) na Stellenbosch SC (Afrika Kusini).
Oura anajiunga na Wekundu wa Msimbazi Kwa Mkataba wa Miaka miwili.
Tags: Anicet Oura ni Mnyama
