KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya

Filed in Michezo by on 10.02.2026 0 Comments
Share This Post
KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya

KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya

KIBU Denis atua Al Nasr Benghazi ya Libya

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Al Nasr Benghazi ya Libya imekamilisha Usajili wa Mshambuliaji, Kibu Denis Kutoka Simba SC ya HAPA Tanzania.

Uhamisho huu ni matokeo ya mazungumzo makini kati ya Simba na Al Nasr, ambapo pande zote zimeridhiana na masharti ya kiufundi na kifedha ya uhamisho.

Mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya KMC kesho huenda ukawa wa mwisho kwa Kibu Denis ambaye kwa muda amekuwa akipambana kusaka timu nje ya nchi.

Kuondoka Kwa Kibu Denis sio pigo Kwa Simba tayari imesajili washambuliaji wawili dirisha dogo Libasse Gueye na Anicet Oura.

Kibu Denis alijiunga na Simba mwaka wa 2021 na amekuwa mchezaji muhimu, akichangia mabao muhimu na kushirikiana kikamilifu na wachezaji wenzake.

Kwa upande wake, Al Nasr Benghazi inamuona Kibu kama nyongeza muhimu katika kikosi chao, ikitarajia kutumia uzoefu na ujuzi wake katika Ligi Kuu ya Libya na mashindano ya kimataifa.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *