KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026

Filed in Usaili by on 10.02.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026

KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026

KUITWA Kwenye Usaili Uhamiaji Tanzania February 2026

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji https://www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa.

Wasailiwa wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi la Ajira (Application ID) kama ilivyotumwa kwenye akaunti na barua pepe ya mwombaji, Kitambulisho chenye picha yake (Mfano, Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha Mkazi, Kadi ya Mpiga Kura, Pasipoti au Kitambulisho chochote kinachomtambulisha kwa sasa) pamoja na Kalamu ya wino wa bluu.
Kwa wasailiwa wenye fani za TEHAMA, udereva na ufundi magari wajiandae kwa usaili wa vitendo (Practical Examination).

Aidha, Wasailiwa wote watatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa zoezi la usaili.

Kwa changamoto/maulizo wasilisha kupitia: ajira@immigration.go.tz

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *