NAFASI Za Kazi Hospitali ya Mbalizi-Ifisi Mbeya

Filed in Ajira by on 17.02.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Hospitali ya Mbalizi-Ifisi Mbeya

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Mbalizi-Ifisi Mbeya

NAFASI Za Kazi Hospitali ya Mbalizi-Ifisi Mbeya

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Hospitali ya Mbalizi-Ifisi ilyopo kilometa 20, Magharibi mwa mji wa Mbeya pembezoni mwa barabara kuu ya Tunduma kwenda Zambia, nje kidogo ya mji mdogo wa Mbalizi, katika kijiji cha Ikumbi Ifisi imepokea kibali cha ajira mpya kutoka kwa katibu mkuu wa Kanisa la Uinjilisti Tanzania kupitia Kumb.Na. MH/GC/TEC/01/2025.

Ajira hizo ni watanzania wenye sifa za kuajiriwa katika utumishi chini ya Kanisa la Uinjilisti Tanzania katika nafasi mbalimbali.

Nafasi hizi ni replacement wa watumishi walioondoka.

Kwa madhumuni ya kuhakikisha Watanzania watakao ajiriwa wawe wenye sifa zinazotakiwa waombaji wanatakiwa kuzingatia sifa na vigezo kwa kila nafasi kama ilivyoainishwa hapo chini kama ifuatavyo hapa chini kwenye PDF.

DONWLOAD PDF HAPA

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *