NAFASI Za Kazi DP World Tanzania

NAFASI Za Kazi DP World Tanzania
NAFASI Za Kazi DP World Tanzania
DP World ni watoa huduma katika masuala ya usafirishaji na usuluhishi wa biashara Duniani kote.
DP World Tanzania imeshirikiana na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendesha na kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa ya kisasa.
Kampuni hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka DP World Tanzania.
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
