NAFASI Za Kazi Kyela District Council

NAFASI Za Kazi Kyela District Council
NAFASI Za Kazi Kyela District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anawatangazia
Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (08) katika Halmashauri hii
baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
