KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 20/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 20/02/2026
KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 20/02/2026
Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba
kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 26/02/2026 hadi 28/02/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 20/02/2026