KUITWA Kwenye Usaili DUCE 28/02/2026

KUITWA Kwenye Usaili DUCE 28/02/2026
KUITWA Kwenye Usaili DUCE 28/02/2026
Rasi, Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi
kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 11/03/2026 hadi 12/03/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
