KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Mtumba

Filed in Usaili by on 06.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Mtumba

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Mtumba

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Jimbo la Mtumba

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa kwa pamoja na Kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mtumba anawatangazia waombaji wa nafasi za Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo na Makarani Waongozaji kufika kwenye usaili utakaofanyika tarehe 11 Oktoba, 2025 siku ya Jumamosi badala ya tarehe 08 Oktoba, 2025 katika Vituo vilivyopangwa kwenye Kata husika kuanzia saa 4:00 Asubuhi – 8:00 Mchana.
Orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *