KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kibaha Vijijini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili.
Tarehe 08.10.2025 katika ofisi za Shule ya Sekondari Magindu kwa kata za Gwata na Magindu
Shule ya Sekondari Kwala kwa kata za Dutumi na Kwala
Halmashauri ya Wilaya Kisabi kwa kata za Kikongo, Kikongo, Ruvu, Kawawa, Soga, Bokomnemela, Janga, Kilangalanga, Mtongani,Mlandizi na Mtambani .
Muda kuanzia saa 3.00 asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibaha District Council
