KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bumbuli District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bumbuli District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bumbuli District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Bumbuli anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 11/10/2025 siku ya jumamosi katika shule ya Sekondari Mbelei na shule ya sekondari Mgwashi iliyopo kata ya Nkongoi kuanzia saa mbili kamili asubuhi.(2:00)
DONWLOAD YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Bumbuli District Council